sw_tn/neh/05/18.md

682 B

Taarifa za jumla

(Tazama: tafsili ya namba)

Sasa kilichoandaliwa kila siku kilikuwa

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "Kila siku niliwaambia watumishi wangu kuandaa" au "Kila siku niliwaambia watumishi wangu watutumie nyama kutoka" (UDB)

divai nyingi

"divai ya kutosha kwa kila mtu"

Na hata kwa haya yote sikuhitaji mahitaji ya chakula cha gavana

"lakini sijawahi kuomba malipo ya chakula kwa gavana"

Nikumbuke

Huu ndio idiom. Ni ombi la Mungu kumfikiria na kumkumbuka. AT "Kumbuka mimi"

kwa uzuri

Idiomi hii ni ombi la Mungu kumlipa vitu vyema kwa sababu ya mema ambayo amewafanyia watu. AT "na kulipia mimi" au "kusababisha sababu nzuri kwangu"