sw_tn/neh/05/14.md

739 B

tangu wakati niliowekwa

Hapa "mimi" inahusu Nehemia.

tangu mwaka wa ishirini mpaka mwaka wa thelathini na pili

mwaka wa pili - "tangu mwaka wa 20 hadi mwaka wa 32"

wa mfalme Artashasta

Artashasta alikuwa mfalme

chakula kilichotolewa kwa gavana

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "walikula chakula ambacho watu walitoa kwa gavana"

kwa kila siku

"kila siku kwa ajili yao"

wakuu wa zamani

wakuu wa zamani au "magavana wa zamani." Nehemia hakuwa gavana wa kwanza wa Yuda.

Shekeli Arobaini

"Shekeli 40" au "sarafu za fedha 40" (UDB).

Lakini sikufanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu.

"Lakini kwa sababu hofu yangu ya Mungu sikuchukua chakula" au "Lakini sikuwa na chakula kwa sababu niliogopa Mungu"