forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.1 KiB
Markdown
36 lines
1.1 KiB
Markdown
# makuhani wakajenga.... wakajenga sehemu..... mlango wa mashariki... tengeneza.... wakajenga sehemu nyingine ya ukuta.... wakajenga kuelekea
|
|
|
|
Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. "makuhani walitengeneza ukuta ... walitengeneza sehemu ya ukuta ... mlango wa mashariki, ukarabati wa ukuta ... ukarabati sehemu nyingine ya ukuta ... ukarabati ukuta kinyume"
|
|
|
|
# Juu ya lango la farasi
|
|
|
|
Neno "juu" linatumika hapa kwa sababu nyumba za makuhani zilikuwa ziko kwenye mwinuko wa juu zaidi kuliko lango la farasi.
|
|
|
|
# kuelekea nyumba yake
|
|
|
|
"mbele ya nyumba yake"
|
|
|
|
# Baada yao ... Baada yake
|
|
|
|
"Karibu nao ... karibu naye"
|
|
|
|
# Sadoki... Imeri....Shelemia...Shekania....Hanania..Shekania....Hanuni..Salafu.... Meshulamu.....Berekia
|
|
|
|
Haya ni majina ya watu
|
|
|
|
# Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki
|
|
|
|
Shemaya alikuwa mlinzi wa mlango wa mashariki, si Shekania
|
|
|
|
# mlinzi wa lango la mashariki
|
|
|
|
"mtu aliyeangalia lango wa mashariki" au "mtu ambaye alifungua na kufunga mlango wa mashariki"
|
|
|
|
# mwana wa sita
|
|
|
|
"mwana wa 6"
|
|
|
|
# kuelekea kwenye vyumba vyake
|
|
|
|
"mbele ya vyumba ambako alikaa." Neno "wake" linamaanisha Meshullam.
|