# makuhani wakajenga.... wakajenga sehemu..... mlango wa mashariki... tengeneza.... wakajenga sehemu nyingine ya ukuta.... wakajenga kuelekea Maneno haya yanataja kutengeneza ukuta. "makuhani walitengeneza ukuta ... walitengeneza sehemu ya ukuta ... mlango wa mashariki, ukarabati wa ukuta ... ukarabati sehemu nyingine ya ukuta ... ukarabati ukuta kinyume" # Juu ya lango la farasi Neno "juu" linatumika hapa kwa sababu nyumba za makuhani zilikuwa ziko kwenye mwinuko wa juu zaidi kuliko lango la farasi. # kuelekea nyumba yake "mbele ya nyumba yake" # Baada yao ... Baada yake "Karibu nao ... karibu naye" # Sadoki... Imeri....Shelemia...Shekania....Hanania..Shekania....Hanuni..Salafu.... Meshulamu.....Berekia Haya ni majina ya watu # Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki Shemaya alikuwa mlinzi wa mlango wa mashariki, si Shekania # mlinzi wa lango la mashariki "mtu aliyeangalia lango wa mashariki" au "mtu ambaye alifungua na kufunga mlango wa mashariki" # mwana wa sita "mwana wa 6" # kuelekea kwenye vyumba vyake "mbele ya vyumba ambako alikaa." Neno "wake" linamaanisha Meshullam.