sw_tn/neh/03/14.md

32 lines
620 B
Markdown

# Malkiya.... Rekabu.....Shalumu...Kolhoze
Haya ni majina ya watu
# Malkiya, mwana wa Rekabu, mtawala
Malkiya alikuwa mtawala, alikuwa hapatikani.
# mtawala
"msimamizi mkuu" au "kiongozi"
# Beth-Hakeremu
Hili ni jina la sehemu
# yeye ......kuweka milango yake
"aliweka milango yake" au "akaweka milango yake mahali"
# vyuma vyake na makomeo yake
"kufuli na baa zake." Hizi zimefungwa malango salama.
# Shalumu mwana wa Kolhoze, mtawala
Shalumu alikuwa mtawala, sio Kolhoze
# ukuta wa Pwani wa Silowamu
Hii inamaanisha kuwa ukuta ulikuwa karibu na Pwani la Siloamu. AT "ukuta uliozunguka Pwani la Siloamu"