forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.0 KiB
Markdown
40 lines
1.0 KiB
Markdown
# Hanuni
|
|
|
|
Hili ni jina la mtu
|
|
|
|
# wenyeji wa Zanoa
|
|
|
|
"watu kutoka Zanoa"
|
|
|
|
# Zanoa
|
|
|
|
Hili ndiyo jina la mahali
|
|
|
|
# Lango la Bonde
|
|
|
|
"Lango la Bonde" au "Lango Lenye Upeleka Bonde" Jaribu kutafsiri maneno haya kama jina, si kama maelezo.
|
|
|
|
# kuweka milango yake
|
|
|
|
"imeweka milango yake" au "kuweka milango yake mahali"
|
|
|
|
# vyuma vyake na makomeo yake
|
|
|
|
"kufuli na makomeo yake." Hizi zimefungwa malango salama.
|
|
|
|
# Walijenga dhiraa elfu hadi lango la jaa.
|
|
|
|
Walijenga sehemu ya ukuta kati ya lango la Bonde na lango la jaa. AT "Walitengeneza dhiraa elfu za ukuta, kutoka kwenye mlango wa bonde hadi kwenye lango la jaa"
|
|
|
|
# Walitengeneza dhiraa elfu
|
|
|
|
Maneno ya kukosekana "ya ukuta" yanaweza kuongezwa. AT "Walitengeneza dhiraa elfu za ukuta" "Wakajenga dhiraa elfu nyingine za ukuta ulio ng'ambo ya lango la Mtaa"
|
|
|
|
# dhiraa elfu
|
|
|
|
"Dhiraa 1,000." Hii inaweza kuandikwa kwa vipimo vya kisasa. AT "mita 460"
|
|
|
|
# Lango la jaa
|
|
|
|
Inawezekana, kukataliwa kuliondolewa kutoka kwa mji kupitia lango hili. Jaribu kutafsiri maneno haya kama jina, sio tu kama maelezo.
|