sw_tn/neh/03/11.md

480 B

Malkiya...Harimu....Hashubu...Pahat Moabu...Shalumu.....Haloheshi

Haya yote ni majina ya watu

wajenga sehemu nyingine...alijenga, pamoja na binti zake.

Maneno haya yanataja ukarabati wa ukuta. AT "walijenga sehemu nyingine ya ukuta ... alijenga ukuta, pamoja na binti zake"

Shalumu mwana wa Haloheshi, mtawala

Sharumu alikuwa mtawala, sio Halloheshi.

mtawala

"msimamizi mkuu" au "kiongozi"

nusu ya wilaya

"Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa.