# Malkiya...Harimu....Hashubu...Pahat Moabu...Shalumu.....Haloheshi Haya yote ni majina ya watu # wajenga sehemu nyingine...alijenga, pamoja na binti zake. Maneno haya yanataja ukarabati wa ukuta. AT "walijenga sehemu nyingine ya ukuta ... alijenga ukuta, pamoja na binti zake" # Shalumu mwana wa Haloheshi, mtawala Sharumu alikuwa mtawala, sio Halloheshi. # mtawala "msimamizi mkuu" au "kiongozi" # nusu ya wilaya "Nusu" ina maana sehemu moja kati ya sehemu mbili sawa.