sw_tn/neh/02/01.md

708 B

Katika mwezi wa Nisani

"Nisani" ni jina la mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania.

katika mwaka wa ishirini wa mfalme Artashasta

"mwaka wa 20 ambao Artashasta alikuwa mfalme"

Sasa

Neno hili linatumika hapa kuashiria mapumziko katika hadithi kuu. Hapa Nehemiya anasema maelezo ya habari juu ya tabia yake mbele ya mfalme.

Lakini mfalme

"hivyo mfalme"

Kwa nini uso wako una huzuni

Hapa Nehemia anajulikana kwa uso wake kwa sababu uso unaonyesha hisia za mtu. AT "Kwa nini wewe huzuni sana"

Hii lazima iwe huzuni ya moyo

Hii inazungumzia Nehemia kuwa huzuni kama moyo wake ulikuwa na huzuni, kwa kuwa moyo mara nyingi huonekana kuwa katikati ya hisia. AT "Lazima uwe mwenye huzuni sana"