forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
708 B
Markdown
24 lines
708 B
Markdown
|
# Katika mwezi wa Nisani
|
||
|
|
||
|
"Nisani" ni jina la mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania.
|
||
|
|
||
|
# katika mwaka wa ishirini wa mfalme Artashasta
|
||
|
|
||
|
"mwaka wa 20 ambao Artashasta alikuwa mfalme"
|
||
|
|
||
|
# Sasa
|
||
|
|
||
|
Neno hili linatumika hapa kuashiria mapumziko katika hadithi kuu. Hapa Nehemiya anasema maelezo ya habari juu ya tabia yake mbele ya mfalme.
|
||
|
|
||
|
# Lakini mfalme
|
||
|
|
||
|
"hivyo mfalme"
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini uso wako una huzuni
|
||
|
|
||
|
Hapa Nehemia anajulikana kwa uso wake kwa sababu uso unaonyesha hisia za mtu. AT "Kwa nini wewe huzuni sana"
|
||
|
|
||
|
# Hii lazima iwe huzuni ya moyo
|
||
|
|
||
|
Hii inazungumzia Nehemia kuwa huzuni kama moyo wake ulikuwa na huzuni, kwa kuwa moyo mara nyingi huonekana kuwa katikati ya hisia. AT "Lazima uwe mwenye huzuni sana"
|