sw_tn/neh/01/06.md

648 B

fungua macho yako

Nehemiya anasema kama Mungu anamtazama yeye akipenda kama Mungu angepoufungua macho na kumtazama. AT "kuangalia mimi' au 'makini na mimi"

ili uweze kusikia sala ya mtumishi wako

"ili uisikie maombi ambayo mimi, mtumishi wako, ninaomba." Neno 'mtumishi' linamaanisha Nehemia. Hii ndivyo mtu anavyoweza kumtambulisha mkuu wake ili kuonyesha unyenyekevu na heshima.

mchana na usiku

Kwa kusema kwamba anaomba wote wakati wa mchana na wakati wa usiku, Nehemia anasisitiza mzunguko wa sala zake. AT "wakati wote"

Wote mimi na nyumba ya baba yangu

Hapa neno "nyumba" linawakilisha familia. AT "Wote mimi na familia yangu"