|
# juu ya milima kuna miguu ya mtu aletaye habari njema
|
|
|
|
"mtu analeta habari njema"
|
|
|
|
# mtu mwovu
|
|
|
|
Nahumu anazungumza kwa watu wa Ninawi kana kwamba ni mtu mmoja.
|
|
|
|
# ameondolewa kabisa
|
|
|
|
Nahumu anazungumza juu tukio la baadaye kana kwamba tayari limekwisha tokea.
|