# juu ya milima kuna miguu ya mtu aletaye habari njema "mtu analeta habari njema" # mtu mwovu Nahumu anazungumza kwa watu wa Ninawi kana kwamba ni mtu mmoja. # ameondolewa kabisa Nahumu anazungumza juu tukio la baadaye kana kwamba tayari limekwisha tokea.