sw_tn/nam/01/06.md

12 lines
319 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Nahumu anaongea kuhusu uwezo wa Yahwe
# ukali wa hasira yake
"nguvu ya hasira yake" au" kiwango (jumla au kiasi)cha hasira yake"
# Ghadhabu yake imemwagwa kama moto, na miamba ameibomoa mbalimbali
kwa tafasiri nyingine ni : "humwaga hasira yake kama moto na kubomoa miamba kwa kuisambaratisha."