# Maelezo ya jumla Nahumu anaongea kuhusu uwezo wa Yahwe # ukali wa hasira yake "nguvu ya hasira yake" au" kiwango (jumla au kiasi)cha hasira yake" # Ghadhabu yake imemwagwa kama moto, na miamba ameibomoa mbalimbali kwa tafasiri nyingine ni : "humwaga hasira yake kama moto na kubomoa miamba kwa kuisambaratisha."