sw_tn/mrk/15/intro.md

1.2 KiB

Marko 15 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

"Pazia la hekalu likagawanyika mara mbili"

Pazia la hekalu lilikuwa ni ishara muhimu ambalo lilionyesha kwamba watu walihitaji kuwa na mtu anayeongea na Mungu kwa niaba yao. Hawangeweza kuzungumza na Mungu moja kwa moja kwa sababu watu wote ni wenye dhambi na Mungu huchukia dhambi. Mungu akagawanya pazia ili kuonyesha kwamba watu wa Yesu wanaweza sasa kuzungumza na Mungu moja kwa moja kwa sababu Yesu amelipia dhambi zao.

Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii

Kudhihaki

Kwa kujifanya kumwabudu Yesu (Marko 15:19) na kwa kujifanya kuzungumza na mfalme (Marko 15:18), askari na Wayahudi walionyesha kwamba walimchukia Yesu na hawakuamini kwamba alikuwa Mwana wa Mungu. (See: [[rc:///ta/man/translate/figs-irony]] and [[rc:///tw/dict/bible/other/mock]])

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Eloi, Eloi, lama sabakthani?

Hili ni tamko katika Kiaramu. Marko hutafsiri sauti zake kwa kuandika kwa kutumia herufi za Kigiriki. Halafu anaelezea maana yake. (See: rc://*/ta/man/translate/translate-transliterate)

<< | >>