sw_tn/mrk/14/01.md

16 lines
354 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Siku mbili tu kabla ya pasaka, makuhani wakuu na waandishi walikuwa wakitafuta kwa hila namba ya kumuua Yesu.
# hila
pasipo watu kugundua
# Kwa kuwa walisema
Neno "wa" urejea kwa makuhani wakuu na waandishi.
# Sio wakati huu wa sikukuu
Inaweza kuwa msaada kuongoze taarifa zilizokosekana. "Hatuwezi kufanya wakati wa sikukuu"