# Sentensi unganishi Siku mbili tu kabla ya pasaka, makuhani wakuu na waandishi walikuwa wakitafuta kwa hila namba ya kumuua Yesu. # hila pasipo watu kugundua # Kwa kuwa walisema Neno "wa" urejea kwa makuhani wakuu na waandishi. # Sio wakati huu wa sikukuu Inaweza kuwa msaada kuongoze taarifa zilizokosekana. "Hatuwezi kufanya wakati wa sikukuu"