sw_tn/mrk/12/intro.md

647 B

Marko 12 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi kwa upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivyo kwa mashairi katika 12:10-11,36, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.

Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii

Hali ya Kudhania

Hali za kudhania ni hali ambazo hazikutendeka. Watu huelezea hali hizi ili waweze kujifunza kile wasikilizaji wao wanafikiri ni nzuri na mbaya au sahihi na zisizo sahihi. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-hypo)

<< | >>