sw_tn/mrk/09/28.md

16 lines
424 B
Markdown

# faragha
Hii inamaanisha walikuwa peke yao.
# mtupe nje
"mtupe roho mchafu nje." Inaweza kuwa msaada kuongeza maelezo yaliyokosekana. "mtupe roho mchafu nje mwa kijana"
# Aina hii haiwezi kuondoka isipokuwa kwa maombi
Neno, "haiwezekani" na "isipokuwa" yote yako kinyume. Katika lugha nyingine ni asili zaidi kutumia maelezo mazuri. "Aina hii inawezatu kuondolewa kwa maombi."
# Aina hii
Hii inaelezea roho chafu.