# faragha Hii inamaanisha walikuwa peke yao. # mtupe nje "mtupe roho mchafu nje." Inaweza kuwa msaada kuongeza maelezo yaliyokosekana. "mtupe roho mchafu nje mwa kijana" # Aina hii haiwezi kuondoka isipokuwa kwa maombi Neno, "haiwezekani" na "isipokuwa" yote yako kinyume. Katika lugha nyingine ni asili zaidi kutumia maelezo mazuri. "Aina hii inawezatu kuondolewa kwa maombi." # Aina hii Hii inaelezea roho chafu.