sw_tn/mrk/08/07.md

28 lines
677 B
Markdown

# Pia walipata
Hapa neno "wali..." linatumika kurejea kwa Yesu na wanafunzi wake.
# alishukuru
"Yesu alishukuru kwa samaki"
# Walikula
"Hawa watu walikula"
# walikusanya
"wanafunzi walikusanya"
# vipande vilivyo baki, vikapu vikubwa saba
Hii inaweza kuwa msaada kuongeza taarifa zilizokosekana. "vipande vilivyo baki vya mkate na samaki, ambavyo vilijaza vikapu saba vikubwa.
# Na aliwaacha waende
Hii inaweza kuwa msaada kufafanua ambapo Yesu anawaacha waende. "Na baada ya kula, Yesu aliwaacha waende"
# wakaenda katika ukanda wa Dalmanuta
Hii inaweza kuwa msaada kufafanua namna ya kwenda Dalmanuta. "walipiga mashua kupitia bahari ya Galilaya mpaka Dalmanuta"