sw_tn/mrk/06/45.md

12 lines
207 B
Markdown

# sehemu nyingine
Hii inarejea kwa Bahari ya Galilaya.
# Bethsaida
Huu ni mji uliopo pwani ya kaskazini katika bahari ya Galilaya.
# Walipokuwa wamekwisha kuondoka
"Walipokuwa watu wamekwisha kuondoka"