sw_tn/mrk/06/07.md

20 lines
495 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anatuma wanafunzi wake nje wawili wawili kuhubiri na kuponya.
# aliwaita kumi na wawili
Hapa neno "aliwaita" linamaanisha kuwa aliwaita kumi na wawili waje kwake.
# Wawili wawili
" 2 kwa 2" au "jozi" msivae kanzu mbili msichukue shuka nyingine."
# hapana mkate
Hapa "mkate" ni neno yenye maana sawa na chakula kwa ujumla.
# hapana pesa katika mkoba
Katika utamaduni, wanaume walibeba pesa zilizowekwa katika mkanda. "hapana pesa iliwekwa kwenye mfuko wa pesa"