forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
791 B
Markdown
20 lines
791 B
Markdown
# Yesu akawambia
|
|
|
|
"Yesu alisema na umati"
|
|
|
|
# Je huwa unaleta taa ndani ya nyumba na kuiweka chini ya kikapu, au chini ya kitanda?
|
|
|
|
Swali hili linaweza kuandikwa kama sentensi. "Unaleta taa ndani ya nyumba na kuiweka chini ya kikapu, au chini ya kitanda!"
|
|
|
|
# Kwa kuwa hakuna chochote kilichojificha ambacho hakitajulikana...njoo nje kweupe
|
|
|
|
Hii inaweza kusemwa kwa namna chanya. "Kwa kila kitu kilichojificha kitafanywa kujulikana, na chochote kilicho sirini kitakuwa peupe"
|
|
|
|
# hakuna kilichojificha... hakuna siri
|
|
|
|
"hakuna kilichojificha... hakuna siri" Vifungu vyote vina maana ile ile. Yesu anasisitiza kwamba kila kilichojificha kitawekwa wazi.
|
|
|
|
# Akiwapo mwenye masikio ya kusikia, na asikie!"
|
|
|
|
Hapa neno "kusikiliza" humaaanisha kuwa makini. "unapaswa kuwa makini kwa kila ninachosema"
|