sw_tn/mrk/03/31.md

12 lines
197 B
Markdown

# ndugu
Hii inarejea kwa ndugu zake Yesu
# Wakamtuma mtu, kumwita
"Wakamtuma mtu ndani kumwambia kwamba walikuwa nje na kwamba yeye anapaswa kuja kwao"
# wanakutafuta wewe
"wanakuulizia wewe"