# ndugu Hii inarejea kwa ndugu zake Yesu # Wakamtuma mtu, kumwita "Wakamtuma mtu ndani kumwambia kwamba walikuwa nje na kwamba yeye anapaswa kuja kwao" # wanakutafuta wewe "wanakuulizia wewe"