sw_tn/mrk/03/03.md

24 lines
717 B
Markdown

# katika ya umati
"katika ya umati huu"
# Je ni halali kutenda tendo jema siku ya Sabato... au kutenda yasiyo haki?
Yesu alisema changamoto hii. Alitaka wao wakiri kuwa ni halali kumponya mtu siku ya Sabato.
# kutenda tenda jema siku ya Sabato au kutenda isivyo haki... kuokoa maisha au kuua.
Haya makundi ya maneno yanafanana katika maana, tofauti ya pili imeenda ndani zaidi.
# kuokoa maisha, au kuua
Inaweza kuwa ni msaada kutubu "ni halali," kama lilivyo swali analouliza Yesu tena kwa njia nyingine. "ni halali kuokoa maisha au kuua"
# maisha
Hii urejea kwa maisha ya kimwili kama neno mbadala kwa mtu. "mmoja wapo anakufa" au maisha ya mmoja wapo"
# Lakini walikuwa kimya
"Lakini walikataa kumjibu"