sw_tn/mrk/02/13.md

16 lines
294 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anafundisha kundi kando ya bahari ya Galilaya, na anamwita Lawi kumfuata yeye.
# ziwa
Hili ni bahari la Galilaya, ambayo linajulikana kama ziwa la Gennesareti.
# mkutano ulikuja kwake
watu walikwenda pale alipokuwa
# Lawi mwana wa Alfayo
Alfayo ni baba wa Lawi