# Sentensi unganishi Yesu anafundisha kundi kando ya bahari ya Galilaya, na anamwita Lawi kumfuata yeye. # ziwa Hili ni bahari la Galilaya, ambayo linajulikana kama ziwa la Gennesareti. # mkutano ulikuja kwake watu walikwenda pale alipokuwa # Lawi mwana wa Alfayo Alfayo ni baba wa Lawi