sw_tn/mic/07/10.md

20 lines
379 B
Markdown

# Kisha adui yangu
Mika hajirejei yeye pekee. Anamaanisha adui wa watu wote wa Israeli.
# Yuko wapi Yahwe Mungu wako?
adui hutumia swali kuwatania watu wa Israeli. "Yahwe Mungu wako hawezi kukusaidia"
# Macho yangu
"Mimi" au "sisi"
# yatamtazama yeye
Hapa "yeye" inawarejea maadui ambao waliowajerui watu wa Israeli.
# atakanyagwa chini
"maadui zao watawakanyaga chini"