# Kisha adui yangu Mika hajirejei yeye pekee. Anamaanisha adui wa watu wote wa Israeli. # Yuko wapi Yahwe Mungu wako? adui hutumia swali kuwatania watu wa Israeli. "Yahwe Mungu wako hawezi kukusaidia" # Macho yangu "Mimi" au "sisi" # yatamtazama yeye Hapa "yeye" inawarejea maadui ambao waliowajerui watu wa Israeli. # atakanyagwa chini "maadui zao watawakanyaga chini"