sw_tn/mic/05/06.md

24 lines
753 B
Markdown

# Wataichunga nchi ya Ashuru
Hapa kuwashinda Waashuru inzungumziwa kana kwamba ilikuwa kuwachunga kondoo.
# nchi ya Nimrodi
Hili ni jina jingine kwa nchi ya Ashuru. Nimrodi alikuwa muwindaji na kiongozi wa mwanzoni. Watafsiri wanaweza kuongeza hii rejea: "Jina 'Nimrodi' maana yake 'uasi.'"
# katika malango yake
Hii sura inaweza kueleweka kama "katika malango yake." Malango ya mji yalikuwa kwenye maeneo ya watu wengi ambapo mara nyingi wakuu walifanya maamuzi muhimu.
# Ataokoa
"Mtawala ataokoa"
# kama umande utokao kwa Yahwe, kama manyunyu kwenye majani
Hii inasisitiza kwamba watu wa Yuda watakuwa wakijifurahisha, baraka, kwa mataifa.
# ambayo hayamsubiri mtu, na hayawasubiri wana wa mwanadamu
"na watasubiri kwa na kumtegemea Mungu"