sw_tn/mic/03/01.md

16 lines
524 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Sura ya 3 inawalenga wakuu wapotoshaji katika Israeli.
# Nimesema
Hapa "mimi" inamrejea Mika.
# Je! Sio sahihi kwenu kuifahamu haki?
Mika anatumia swali kuwakemea wakuu kwa sababu hawakuwa wanawalinda watu au kuwatendea haki.
# ninyi manaorarua ngozi yao, miili yao kutoka mifupa yao...kama nyama katika chungu
Mika anatumia hii picha mbaya ya bucha kuwakata wanyama kuwa nyama kusisitiza jinsi Mungu alivyo fadahaishwa na wakuu kwa sababu ya jinsi walivyo wakatili kwa wale waliotakiwa kulindwa.