sw_tn/mat/28/11.md

24 lines
761 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inaanza kwa habari ya mwitikio wa viongozi wa dini waliposikia habari ya kufufuka kwa Yesu
# Sasa
Hili neno linaonesha mwanzo wa habari kuu. Mathayo anaanza kusimuliasehemu ya habari
# wale wanawake
Inamaanisha Mariamu Magadelena na yula Mariamu mwingine
# Tazama
Hii inaonesha mwanzo wa tukio lingine katika habari kuu. Inaweza kujumuisha watu tofauti katika matukio yalitangulia. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya kulifanya hilo.
# kujadili jambo hilo pamoja nao
"walipanga mpango wao wenyewe." Makuhani na wazee waliamua kuwapa zile fedha wale maaskari
# Waambieni wengine kuwa, 'wanafunzi wa Yesu walikuja ... wakati tulipokuwa tumelala,'
Wambieni wengine kuwa wanafunzi wa Yesu waikuja ... wakati mlipokuwa mmelala"