# Sentensi unganishi Hii inaanza kwa habari ya mwitikio wa viongozi wa dini waliposikia habari ya kufufuka kwa Yesu # Sasa Hili neno linaonesha mwanzo wa habari kuu. Mathayo anaanza kusimuliasehemu ya habari # wale wanawake Inamaanisha Mariamu Magadelena na yula Mariamu mwingine # Tazama Hii inaonesha mwanzo wa tukio lingine katika habari kuu. Inaweza kujumuisha watu tofauti katika matukio yalitangulia. Lugha yako inaweza kuwa na namna ya kulifanya hilo. # kujadili jambo hilo pamoja nao "walipanga mpango wao wenyewe." Makuhani na wazee waliamua kuwapa zile fedha wale maaskari # Waambieni wengine kuwa, 'wanafunzi wa Yesu walikuja ... wakati tulipokuwa tumelala,' Wambieni wengine kuwa wanafunzi wa Yesu waikuja ... wakati mlipokuwa mmelala"