sw_tn/mat/27/25.md

16 lines
439 B
Markdown

# Damu yake iwe juu yetu na watoto wetu
damu inamaanisha kifo cha mtu. Kirqai cha "iwe juu yetu na watoto wetu" ni nahau inayomaanisha kuwa wanakubali kuajibika kwa kile kinachotokea. "Ndiyo! Sisi na wa watoto wetu tutaajibika kwa kifo cha Yesu"
# alimpiga mijeredi
Maaskari wa Pilato walimpiga mijeredi Yesu.
# kupiga mijeredi
kumpiga mtu kwa kutumia mjeredi
# Kumkabidhi kwao kwenda kusulibiwa
"na Pilato akaamuru Yesu asulibiwe"