# Damu yake iwe juu yetu na watoto wetu damu inamaanisha kifo cha mtu. Kirqai cha "iwe juu yetu na watoto wetu" ni nahau inayomaanisha kuwa wanakubali kuajibika kwa kile kinachotokea. "Ndiyo! Sisi na wa watoto wetu tutaajibika kwa kifo cha Yesu" # alimpiga mijeredi Maaskari wa Pilato walimpiga mijeredi Yesu. # kupiga mijeredi kumpiga mtu kwa kutumia mjeredi # Kumkabidhi kwao kwenda kusulibiwa "na Pilato akaamuru Yesu asulibiwe"