forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
586 B
Markdown
20 lines
586 B
Markdown
# Sasa
|
|
|
|
Hili neno linaonesha kuazisha habari mpya kwenye simulizi. Matahyo anaanza kueleza habari mpya ya simulizi
|
|
|
|
# kusudi wapate
|
|
|
|
kiwakilisi "wa" kinamaanisha wale wakuu wa Makuhani na wale wajumbe wa baraza.
|
|
|
|
# Wawili walitokeza mbele.
|
|
|
|
"Wanaume wawili walikuja mbele" au "mashahidi wawili walitokeza mbele."
|
|
|
|
# Walisema, "Mtu huyu alisema, 'Ninaweza kuliharibu hekalu la Mungu na kulijenga upya kwa siku tatu.'"
|
|
|
|
"Walishuhudia kwamba walimsikia Yesu akisema angeweza kuvunja hekalu la Mungu na kulijenga upya kwa muda wa siku tatu."
|
|
|
|
# Mtu huyu alisema.
|
|
|
|
"Mtu huyu Yesu alisema."
|