forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.0 KiB
Markdown
32 lines
1.0 KiB
Markdown
# Tazama.
|
|
|
|
Neno "tazama" linatuvuta usikivu kwa ajili ya taarifa ya kugusa inayofuatia.
|
|
|
|
# alichomoa upanga
|
|
|
|
"aliyechukua upanga ili aue wengine"
|
|
|
|
# wataangamizwa kwa upanga
|
|
|
|
"watakufa kwa njia ya upanga" au "mtu atawaua kwa upanga"
|
|
|
|
# Mnadhani kuwa siwezi kumwita Baba, na angenitumia zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?
|
|
|
|
"Mlipaswa kujua kwamba ningeweza kumwita Baba yangu, na angenitumia majeshi zaidi ya kumi na mawili ya malaika."
|
|
|
|
# mnadhani
|
|
|
|
hapa "mna" neno la umoja linlomaanisha yule mtu aliye na upanaga.
|
|
|
|
# Baba yangu.
|
|
|
|
Hili ni jina mashuhuri la Mungu ambalo hueleza uhusiano kati ya Mungu na Yesu.
|
|
|
|
# Majeshi ya malaika zaidi ya kumi na mawili.
|
|
|
|
Neno "jeshi" ni neno la kijeshi linalojumuisha wanajeshi 6,000. Yesu anamaanisha kuwa Mungu angeweza kutuma malaika wa kutosha kuwazuia wale waliokuwa wanamkamata. Zaidi ya makundi 12 ya malaika.
|
|
|
|
# lakini bai jinsi gani maandiko yangeweza kutimizwa, hivi ndivyo ilipswa kutoka
|
|
|
|
"Lakini kama nkifanya hivyo, nisingeweza kutimiza,kile Mungu alichosema kwenye maandiko kitokee"
|