sw_tn/mat/26/33.md

24 lines
373 B
Markdown

# Kukataa.
Tazama 26:30
# kweli nakuambia
"Ninakuambia ukweli" Hiiinaongeza msisitizo wa kile kilichofuata baadaye
# Kabla jogoo hajawika.
"Kabla jua halijachomoza."
# Jogoo.
Ndege ambaye huwika kwa sauti kubwa karibu na majira ya jua kuchomoza.
# Kuwika.
Sauti ambayo jogoo hufanya anapowika.
# utanikana mara tatu
"utasema mara tatu kuwa wewe si mfuasi wangu"