# Kukataa. Tazama 26:30 # kweli nakuambia "Ninakuambia ukweli" Hiiinaongeza msisitizo wa kile kilichofuata baadaye # Kabla jogoo hajawika. "Kabla jua halijachomoza." # Jogoo. Ndege ambaye huwika kwa sauti kubwa karibu na majira ya jua kuchomoza. # Kuwika. Sauti ambayo jogoo hufanya anapowika. # utanikana mara tatu "utasema mara tatu kuwa wewe si mfuasi wangu"