sw_tn/mat/26/14.md

20 lines
416 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yuda Iskaariote anakubali kuwasaidia viongozi wa Wayahudi kumkamata na kumwua Yesu
# Nikimsaliti
"kuwasaidia kumkamata Yesu."
# Vipande therathini vya fedha.
Kwa kuwa maneno haya ni sawa na yale ya unabii katika Agano la Kale, endeleza muundo huu badala ya kuugeuza katika pesa ya leo.
# Kumsaliti kwao.
"Kuwasaidia wakuu wa makuhani kumkamata Yesu."
# vipande thelathini
"vipande 30"