sw_tn/mat/26/03.md

20 lines
297 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Mstari huu unatoa historia ya mpango wa viongozi wa Wayahudi wa kumkamata na kumwua Yesu
# walikutana pamoja
"walikutana"
# Kwa siri.
"Bila kujulikana kwa wengi"
# Siyo wakati wa sikukuu.
"Tusimuue Yesu wakati wa sikukuu"
# Sikukuu.
Sikukuu ya kila mwaka ya Pasaka.