# Sentensi unganishi Mstari huu unatoa historia ya mpango wa viongozi wa Wayahudi wa kumkamata na kumwua Yesu # walikutana pamoja "walikutana" # Kwa siri. "Bila kujulikana kwa wengi" # Siyo wakati wa sikukuu. "Tusimuue Yesu wakati wa sikukuu" # Sikukuu. Sikukuu ya kila mwaka ya Pasaka.