sw_tn/mat/25/44.md

36 lines
878 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anahitimisha kuwaambia wanafunzi wake jinsi atakavyowahukumu watu atakapokuja mara ya pili
# Maelezokwa ujumla
Huu ni mwisho wa sehemu ya habari inayoanzaia 23:1, mahali ambapo Yesu anafundisha juu ya wokovu na hukumu ya mwisho.
# Wao pia watamjibu.
"Hao walioko kushoto pia watamjibu"
# Mmoja wa wadogo hawa.
"Kwa yeyote kati ya watu wangu walio wadogo."
# Hamkunitendea mimi.
"Nina jali kuwa hamkufanya kwa aajili yangu" au "Mimi ndiye hasa yule ambaye hamkumsaidia"
# Hawa watakwenda katika adhabu ya milele
"Mfalme atawapeleka hawa kwenye eneo amablo watapata adhabu ambayo haitakoma"
# Wenye haki kwenda katika uzima wa milele.
"Watu wenye haki wataenda katika uzima wa milele."
# bali wenye haki katika uzima wa milele
"lakini mfalme atawapeleka hawa mahali ambapo wataishi milele pamoja na Mungu"
# wenye haki
"watu wenye haki"