sw_tn/mat/25/24.md

16 lines
523 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kueleza mfano wa watumishi na talanta
# Unachuma mahali ambapo hukupanda, na unavuna mahli ambapo hukupanda.
Maelezo haya mawili yanamaanisha kitu kilekile. Mtumwa anamlaumu bwana kwa kukusanya mazao ambayo siyo yake. "Unakusanya mazao ya bustani kutoka katika bustani ambazo huna haki ya kukusanya mazao hayo."
# Kupanda
Siku hizo walizoea kutupa kiasi kidogo cha mbegu pande zote badala ya kupanda katika mistari.
# Tazama, unapata ile ile ya kwako.
"Angalia, hii n"diyo yako"