sw_tn/mat/24/30.md

24 lines
426 B
Markdown

# Mwana wa Adamu ... mwo ... wake
Yesu anaongea juu yake katika nafsi ya tatu.
# makabila yote
watu wa makabila yote
# atawatuma malaika wake kwa sauti kuu ya tarumbeta
"wakati tarumbeta itakapolia atawatuma malaika wake"
# Watakusanya.
"Malaika wake watakusanya."
# Wateule wake.
Watu ambao Mwana wa Adamu amewachagua.
# kutoka pande nne za dunia, kutoka mwisho wa mmoja wa mbingu hadi mwingine
kutoka kila upande