sw_tn/mat/24/26.md

28 lines
829 B
Markdown

# ikiwa watawambia, 'Kristo yuko jangwani,' msiende huko jangwani. Au 'Tazameni, 'yuko ndani ya nyumba,'
"au, kama mtu atawambia kuwa Kristo yumo ndani ya nyumba"
# ndani ya nyumba
"ndani ya chumba cha siri"
# kama vile radi inavyomulika ... ndivyo itavyokuwa kuja
Hiiinamaanisha mwana wa mtu atakuja kwa kasi sana na itakuwa rahisi kumwona
# Kama vile radi inavyomulika...ndivyo itakavyokuwa kuja.
Atakuja kwa kasi na itakuwa rahisi kuonekana.
# mwana wa Adamu
Yesu anaongea juu yake katika nafsi ya tatu
# Popote ulipo mzoga, huko ndiko tai wakusanyikapo.
Maana ya karibu ni: (1). Mwana wa Adamu atakapokuja, kila mtu atamuona na kujua kwamba amekuja; (2). Popote walipo watu aliokufa kiroho, manabii wa uongo watakuwepo huko kuwaambia uongo.
# tai
Ndege ambao wanakula mizoga au wanyama wanaokaribia kukata roho.