forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
477 B
Markdown
12 lines
477 B
Markdown
# Angalieni msiwe na wasiwasi.
|
|
|
|
"Msije mkaruhusu mambo haya kuwapa wasiwasi."
|
|
|
|
# kwa kuwa taifa litainuka juu ya taifa jingine, na ufalme dhidi ya ufalme
|
|
|
|
Hii inamaanisha kitu kilekile. na msisitizo wake ni kwamba kutakuwa na mapigano kila mahali
|
|
|
|
# ni mwanzo tu wa uchungu
|
|
|
|
Hii inamaanisha maumivu mwanamke huyapata wakati anapotaka kujifungua mtoto. Sitiari hii inamaanisha kuwa haya matetemeko, njaa na vita ni mwanzo tu wa matukio yatakayotuongoza kuelekea mwisho wa dunia
|